Kwenda Town bila uniform kupitia panya roads za umenyeni
Kugombania chakula, na kwenda mjini bila uniform
haha ha ha kaka ninga nakumbuka sana aisee hasa ile mambo yetu ya channel e ila wengine tulikua tuna machaka yetu nag'ambo bana tunaibuka night ni nomasio siri kuoga kwangu ilikua mbinde sana mara 2 au 3 kwa mwezi na hapo labda kue na joint mass wadada wanakuja, siku za nyama ama za wari mapemaaa mtu zimejaa DH, kali kuliko zote TV ilikua inatolewa ijumaa saa 11:30AM inarudishwa juma3 saa 12:00AM hapo mtu hazing'oki DH mtu anaingia na kidumu cha maji na bakuli yaani anakula na kusuuza chombo hapohapo milobmi3 yote, mida ya saa6 usiku J.mos na J.Pili utaona DH mtu zinajaa na Blankets mambo yetu yaleeee ya Chanel e yalikua yamepewa code name KP, kaka asigwa unakumbuka hizo??
kweli maisha yalikua poa sana miaka hiyo
Tabora Boyz 2009
Kwa shule za girls baadhi ya waschana kujifanya au kujiweka kama wavulana na hivyo ndivyo vyanzo vya usagaji mashuleni.
Kulala wawili wawili kwa kisingizio cha baridi usiku na kuogopa vibwengo.
Kutembea bila nguo bwenini au kutembea na nguo za ndani tuu mkiwa bwenini bila aibu yoyote.
Kutoka bafuni kuoga mpaka bwenini au room ukiwa bila nguo(naked) bila kuwa na aibu yoyote.
n.k n.k.
haha ha ha kaka ninga nakumbuka sana aisee hasa ile mambo yetu ya channel e ila wengine tulikua tuna machaka yetu nag'ambo bana tunaibuka night ni noma
ulicheza disko vumbi wewe??