Wakuu, na leo nimejitokeza tena kuwakumbuka na kuwataka waliosoma SHYCOM, (SHINYANGA COMMERCIAL INSTITUE) mnamo miaka ya 1994 mpaka 1997 tuwasiliane. Atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya simu au aniandikie katika anuani ya barua pepe hii hapa: mmalyenge@yahoo.com.