Kwa waliosoma tabora boys

paslau

New Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
4
Reaction score
1
kwanza niwape hongera sana waboyzia wote mliopo pande zote za TZ tuikumbuke shule yetu imetutoa mbali sana kama ww ni mboyzia tupia comment hapa kwa neno lolote lile
 
Last edited by a moderator:
kwanza niwape hongera sana waboyzia wote mliopo pande zote za TZ tuikumbuke shule yetu imetutoa mbali sana kama ww ni mboyzia tupia comment hapa kwa neno lolote lile

Yeah nipo hapa 2010-2012
 
Last edited by a moderator:
Tabora Boys shule yangu, dume la nyani lililokwepa mishale mingi tangu enzi na enzi limekuwa likichukua vichwa vya Tanzania toka Zanzibar mpaka Nkwenda Kaisho maadamu uwe umekandamiza sawasawa paper,siyo vishule vya siku hizi kakiiba mitihani miaka mitatu mfululizo kanajiita kavipaji,kasipo iba kanadoda.....Long live Tabora Boys/Tabora School long live wa Boyizia popote mlipo duniani.
 
Boizia....Warsaw....!! After lunch tunakaa pale chini ya mwembe kupunga upepo!! Kuna nnge balaa. Kilichonshinda bhana ni yale maji pale jikoni kwenye Boiler...aisee yani maji yanachemka juu povu tupu..maji mekunduuuuuuuuuuuuu!! Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…