Kwa waliosoma Tambaza Secondary tukutane hapa

Pablo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
2,441
Reaction score
2,545
Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!!

Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini kifanyike ili Tazama Mbali zaidi ifanye vyema kitaaluma.

Binafsi namkumbuka mwl. Mjuni (Islael nkongo) huyu refarii aliepigwa na mwanyika wa yanga, alikuwa displine master (sijua sasa kama bado yupo) huyu mshikaji anaogopeka shule nzima vizazi na vizazi yaani utulivu wa tambaza unamtegemea yeye.

Watu wa PCM,PCB,PGM kama hayupo huyu jamaa hakuna kinachoendelea pale Lab. Akisafiri kwenda mishe zake za kabumbu hakuna anaechukua nafasi yake pale Lab. Wadau tulijaribu kuliamsha dude mwishoni 2012 lakini tulichoambulia ni baadhi yetu kupigwa ban miezi kadha kwa kuwa hatukua na umoja.

Yapo mengi sana kuhusu tambaza na hapa ndo sehemu special ya kutililika.
Karibuni tushare majanga ya pale.

Cc : jangwani secondary

Cc : Azania secondary

Cc: Zanaki secondary
 
Pia mwenye historia fupi kwanini tambaza ilikuwa advance pekee atueleze japo tujue kidogo.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Wale majirani zetu mafahali wenzetu (Azania au Azaboy wanavyojiita wenyewe) tunaogombea watoto wazuri wa jangwani njoeni na ninyi tupige soga hapa tuchangamshe muhimbili square maana ndo maeneo yetu ya kujidai.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Watoto wazuri wa jangwani na Zanaki njooni tukumbushane yaliyopita maana bila ninyi cjui tungekuwa tunatolea wapi ugumu [emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!!

Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini kifanyike ili Tazama Mbali zaidi ifanye vyema kitaaluma.

Binafsi namkumbuka mwl. Mjuni (Islael nkongo) huyu refarii aliepigwa na mwanyika wa yanga, alikuwa displine master (sijua sasa kama bado yupo) huyu mshikaji anaogopeka shule nzima vizazi na vizazi yaani utulivu wa tambaza unamtegemea yeye.

Watu wa PCM,PCB,PGM kama hayupo huyu jamaa hakuna kinachoendelea pale Lab. Akisafiri kwenda mishe zake za kabumbu hakuna anaechukua nafasi yake pale Lab. Wadau tulijaribu kuliamsha dude mwishoni 2012 lakini tulichoambulia ni baadhi yetu kupigwa ban miezi kadha kwa kuwa hatukua na umoja.

Yapo mengi sana kuhusu tambaza na hapa ndo sehemu special ya kutililika.
Karibuni tushare majanga ya pale.

Cc : jangwani secondary

Cc : Azania secondary

Cc: Zanaki secondary
Yenu mjukuu wa Tambaza! Tambaza babu kuanzia 70s Baba 80smpaka 90s hapo ndipo ilipochange na kuwa Advanced only baada ya vurugu na mauaji ya 92 ,wanafunzi O level ilikuwa boys only Advance ndio mchanganyiko.
Nakumbuka kuna siku Advance walituletea ujinga watu tukajipeleka store kuomba mafyekeo tukijifanya tumepewa adhabu ya kufyeka majani kumbe tulikuwa on mision kwenda kuchinja kaka zetu wa Advance -walipopitia na walipolala siku hiyo wanajua wenyewe!
Mhenga from Tambaza
 
Hahahaha nahitajii hii story kwa undani
 
Back
Top Bottom