Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,545
Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!!
Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini kifanyike ili Tazama Mbali zaidi ifanye vyema kitaaluma.
Binafsi namkumbuka mwl. Mjuni (Islael nkongo) huyu refarii aliepigwa na mwanyika wa yanga, alikuwa displine master (sijua sasa kama bado yupo) huyu mshikaji anaogopeka shule nzima vizazi na vizazi yaani utulivu wa tambaza unamtegemea yeye.
Watu wa PCM,PCB,PGM kama hayupo huyu jamaa hakuna kinachoendelea pale Lab. Akisafiri kwenda mishe zake za kabumbu hakuna anaechukua nafasi yake pale Lab. Wadau tulijaribu kuliamsha dude mwishoni 2012 lakini tulichoambulia ni baadhi yetu kupigwa ban miezi kadha kwa kuwa hatukua na umoja.
Yapo mengi sana kuhusu tambaza na hapa ndo sehemu special ya kutililika.
Karibuni tushare majanga ya pale.
Cc : jangwani secondary
Cc : Azania secondary
Cc: Zanaki secondary