Kwa waliowahi kupata scholarship za kusoma nje....

Kwa waliowahi kupata scholarship za kusoma nje....

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
... kama unaweza kunisaidia ile barua kutoka kwa sponsor, yaani "scholarship acceptance letter" kuna mission nataka kuifanya, so kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kuipata ya kwake ntashukuru.... au document yeyote inayoonesha ufadhili wa kusoma nje...
 
hueleweki mkuu unataka usaidiwe namna inavyoandikwa au unataka mtu akupe ya kwake?
 
Ndugu! Kwa style uliyoweka hapa hakuna mtu yeyote tena aliyesoma ambaye anaweza kufanya hicho unachokitafuta Ingekuwa unahitaji ushauri sawa lakini nikupe Scholarship offer letter ambayo sijui unataka ukaifanyie nini, SAHAU!!!
 
No nataka niiduplicate, niitumie kuomba passport
 
Back
Top Bottom