Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Ya, anitumie ya kwake... vp unayo wewe...hueleweki mkuu unataka usaidiwe namna inavyoandikwa au unataka mtu akupe ya kwake?
Du we kiboko. Huo unaitwa ubwete!Ya, anitumie ya kwake... vp unayo wewe...
No nataka niiduplicate, niitumie kuomba passportNdugu! Kwa style uliyoweka hapa hakuna mtu yeyote tena aliyesoma ambaye anaweza kufanya hicho unachokitafuta Ingekuwa unahitaji ushauri sawa lakini nikupe Scholarship offer letter ambayo sijui unataka ukaifanyie nini, SAHAU!!!
No nataka niiduplicate, niitumie kuomba passport
Bei gani unataka?Una sh ngapi? Coz inakuwa ni risk kwangu
Bei gani unataka?