Huyo jamaa kama hakuna haja ya kujiuliza mara mbili.
Aisee , XT yako ni manual au Automatic?Kama Mimi mwenye Subaru forester XT SH 5 ya 2009 nawasumbua akina vanguard sembuse hiyo mashine.
Hiyo gari ina Gia 6 na ina nguvu Sana , Kwa ishu ya performance hakuna crossover itakusumbua
Kuhusu spare parts zipo nyingi kama Subaru forester nyingine Tu, kama ni MTU wa hekaheka za ligi ya mabingwa barabarani nunua hiyo gari
Ni automatic transmissionAisee , XT yako ni manual au Automatic?
Baba Vanguard? Au umekosea baba Vanguard 3.5L 2GR-FE au unazungumzia Vanguard gani babaKama Mimi mwenye Subaru forester XT SH 5 ya 2009 nawasumbua akina vanguard sembuse hiyo mashine.
Hiyo gari ina Gia 6 na ina nguvu Sana , Kwa ishu ya performance hakuna crossover itakusumbua
Kuhusu spare parts zipo nyingi kama Subaru forester nyingine Tu, kama ni MTU wa hekaheka za ligi ya mabingwa barabarani nunua hiyo gari
Dereva sio mimi labda babaHiyohiyo 3500cc mkuu
Yani Vanguard 3.5L 2GR-FE inyanyaswe na Subaru forester XT SH 5 ya 2009 labda kwa kuwa si mjuzi sana wa magari mimiUnamaanisha nini 😂, labda amemaanisha ile ya 2360cc
Vanguard' 2.4LBaba Vanguard? Au umekosea baba Vanguard 3.5L 2GR-FE au unazungumzia Vanguard gani baba
Nakuunga mkono100%Dereva sio mimi labda baba