Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
- Thread starter
-
- #21
Nimezaliwa tar 14 Sept......nitafaa.....?
Hey ladies;
Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia. Mengine tutaelezana kwa PM.
Haya mkuu... Ngoja nisepe mie nimezaliwa 30th feb
aiyaa!! ilibaki kidogo 2fanane!! Yani tarehe hzo full shangwe!