Kwa walosoma Moshi sec.... Msiba

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Wana JF mlosoma Moshi sec miaka ya 80, nawatangazia msiba Madesho wa Madesho hatunaye tena. Jamaa alitoka kwenye zoezi jana jioni akiwa njiani akajisikia vibaya akampigia mkewe simu. Alipelekwa kcmc na leo hii ameaga dunia.
Bwana Alitoa na Bwana ametwaa Jina lake liinuliwe. Amen
 
Kiajana ametangulia tukiwa bado twamhitaji. RIP broda
 
Inauma uchungu!
Too young to die...
 
jamani tunaomba wasifu wake!pamoja na kusoma mo school alikuwa ni nani?RIP Madesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…