Styvo254
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 246
- 227
Hamjamboni WanaJF,
Kwa wale wanomiliki au kuhusika katika biashara ya usafirishaji kwa magari, nawaletea habari njema! Kero kubwa la wizi wa mafuta sasa lina suluhu ya kisasa na ya kutumia teknolojia.
Kuna aina tatu za kurekodi au kusoma matumizi ya mafuta kwa engine :-
1. Tank mounted reader/Ndani ya tenki
2. Fuel line reader/Kwa Mirija ya Mafuta
3. Injection pulse reader/Kwa Mfumo wa Komputa
Njia ya kwanza inahusisha kifaa kinachosoma matumizi ya mafuta kwa kunukuu kasi ya kupungua kwake. Engine inapotembea hutumia mafuta kwa utaratibu au kasi flani, lita kwa dakika kadhaa hivi; waporaji nao huyakamua kwa kasi isiopungua lita tano kwa dakika! Hapo kifaa kitakujulisha na pia kunukuu tukio.
Mfumo wa pili unatumia kifaa kinachowekwa kwenye njia za kupeleka na kurudisha mafuta. Mafuta yanavyopita pale kifaa kinanukuu matumizi. Mfumo huu uhitaji kubadilishwa kwa mirija/pipe za mafuta na kuweka zisizo na joint/maunganisho yoyote. Kifaa pia kinatuma na kunukuu taarifa za matumizi ya mafuta, kasi gari na kadhalika.
Njia ya tatu inatumika hasa kwa engine za kisasa zinazotumia mifumo ya computer, kama vile Toyota D4D[emoji768], n.k. Mfumo huunganishwa na computer na kusoma ufunguaji wa injector. Hii pamoja na kasi ya chombo na taarifa zingine huwezesha usmamiaji bora kabisa wa matumizi ya mafuta.
Njia hizi zinatumia mifumo ya kisasa ilioweza kuwasiliana na 'Smartphone', 'laptop' au 'desktop' kupitia website yetu. Sasa una uwezo wa kujua matumizi ya mafuta, kasi na ilipo gari wakati wowote.