sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
System inaitwa Secondary School Information Management System(with android application)
Ina manage taarifa za Academic na Finance za Shule
Requirements
1.Hosted Website
Shule ikiwa na website inakuwa vizuri zaidi,hii system tunaiunganisha na website ya shule.Kama shule haina website inabidi tuihost yenyewe pekee,gharama ya kuhost mwaka wa kwanza kwa kampuni ya Power web ni 750000/=Tsh then unakuwa unalipia 100000/=Tsh kila mwaka.
2.Shule iwe na computer au laptop
Watumiaji wa huu mfumo
1.Mmiliki wa shule(Mkurugenzi)
2.Mkuu wa shule(Headmaster)
3.Cashier
4.Academic
5.Discipline master
6.Walimu wa masomo yote shuleni
Jinsi inavyofanya kazi
Kwanza Wanafunzi wote shuleni wanasajiliwa ndani ya huu mfumo
Upande wa cashier
Anakusanya taalifa za ulipaji wa karo kupitia risiti za malipo kutoka kwa mwanafunzi na kuziingiza ndani ya system.
System inatunza kumbukumbu za kila mwanafunzi kalipa kiasi gani na kiasi anachodaiwa.
System inaonyesha kiasi gani kinatakiwa kilipwe kwa mwaka husika na kiasi gani kimeshakusanywa,pia inatoa taalifa katika percentage.
Academic
Anaregister wanafunzi,anapanga masomo kwa wanafunzi,pia anaweza kuingiza matokeo yote kwa jumla kwenye database kupitia excel.system inacalculate na inayaandaa matokea katika format ya pdf,inatengeneza kama kitabu,kila matokeo ya mwanafunzi mmoja yanapewa page yake kutoka wa kwanza hadi wa mwisho.Pia inatengeneza matokeo ya pamoja.
Mwalimu wa somo
Yeye anaingiza marks za somo lake tu kwenye mfumo,system inapanga kutoka mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho,anaweza kuedit marks zawanafunzi alizoingiza pia anaweza kudownload matokeo ya somo lake,haruhusiwi kuona masomo ambayo siyo ya somo lake
Discipline master
Yeye ni kwaajili ya kuset tabia za mwanafunzi kwenye mfumo,taalifa ambazo zitatumika kuandaa report kwenda kwa mzazi.
Head master
Yeye anaona overview report ya kazi zilizofanywa na users wengine.taalifa za academic na finance.
Mmiliki wa shule(Mkurugenzi)

Android & IOS application
Kunakuwepo na application unainstall(weka kwenye) simu kama ilivyo whatsapp hii inakuwa inakupa update ya taarifa muhimu zinazobadilika mara kwa mara kutoka server(database ya system).
Mfano wa taarifa hizo ni ada ya shule kadili inavyoingizwa na cashier kutoka kwa wanafunzi.
Kiasi gani kinatakiwa kikusanywe kutoka kwenye idadi ya wanafunzi waliosajiliwa
Jumla kiasi gani cha karo kimeshashaingizwa kwenye system.
Makusanyo ya karo yameshafanyika kwa kiasi gani katika asilimia
Inaonyesha kiasi gani kimeingizwa kwa siku,kwa week.
Idadi ya wanafunzi waliosajiliwa kujiunga shuleni
Jumla ya wanafunzi waliopo shuleni
Na mambo mengine.
Hizi taaliafa unaziona kwa kuweka username na password
Hii android application inakuwa kwenye simu ya mmiliki wa shule (mkurugenzi)
Pia mkuu wa shule anakuwa na android application yenye content tofauti na mkurugenzi
Hitimisho
System tumeihost waweza kuitazama ipo kwenye hii link www.ppmrs.co.tz
Inahitaji username na password
Username :Academic
Password yake:123456
Username:Headmaster
Password yake:567890
Username :cashier
Password yake:567890
Username E.H Masija
Password yake:567890
Huyu kasajiliwa kama mwalimu wa mathematics form 2
Username:discipline
Password yake:567890
Ukitaka kuiona android application Bofya hapa ili uweze kuidownload kisha unainstall kwenye simu yako unaitazama Username: director na Password: 123456 taarifa utakazozipata kwenye hii android application zinatoka www.ppmrs.co.tz .Tunaweza kuzibadilisha content kutokana na demand ya customer
Malengo ya hii system ni
1.Kurahisisha mawasiliano ya taarifa muhimu (makusanyo ya ada )za shule na kumfikia mmiliki muda wowote katika simu yake ,anaangalia update .Mfano shule inaweza ikawa Musoma yeye yupo Dar es salaam au nje ya nchi lakini akawa anapata taalifa kadili wafanyakazi wanavyoupdate taalifa yeye anazipata kwenye simu yake.
2.Inaandaa matokeo,inawapunguzia mzigo walimu wa kupanga matokeo manually.Ukiingiza matokeo ndani ya nusu saa kila mwalimu anaingiza matokeo yake online inaya print kupitia printer,yanagawiwa kwa wanafunzi yakiwa na taalifa zao za ulipaji wa karo.Ndani ya nusu saa inaweza kuanda matoke ya wanafunzi zaidi ya 1000.
3.Inaongeza ufanisi shuleni,kunakuwepo na uwazi katika mambo ya ada za shule,system ndiyo inacalculate kiasi kinachotakiwa kikusanywe kulingana na idadi ya wanafunzi.
Gharama zetu:
Gharama yetu si kubwa tutaelewana tu, tunalenga kufanya nchi yetu watu watumie technolojia ya mawasilano kurahisisha utendaji kazi.Tupigie simu kupitia namba hapo chini kwa mawasiliano zaid.
NB:KAMA MWENYE WEBSITE,SYSTEM,BLOG anataka atengenezewe android au IOS application ainstall kwenye simu yake atutafute inakuwa inampa update kama ilivyo whatsapp kadili taalifa zinavyobadilika