Kwa wamiliki wa maduka ya nguo Kariakoo

Kwa wamiliki wa maduka ya nguo Kariakoo

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Kwa utafiti mdogo niliofanya kuhusu mwenendo wa biashara katika soko la kariakoo nimeona kuna fursa ambazo zinaweza kusisimua zaidi biashara na kuwezesha kukuza mauzo ya wamiliki wa maduka ya nguo ya Jumla na Rejareja Kariakoo.

Iwapo wewe ni mmiliki wa duka la Nguo kariakoo na ungependa kufahamu zaidi kuhusu fursa hii tafadhali tuwasiliane kwa email:masokotz@yahoo.com

Fursa kwa ufup itakuwa na faida hizii:
  1. Duka lako litakuwa na online shop
  2. Utaunganishwa na wateja wa jumla na rejareja
  3. Utapata fursa ya kushiriki katika matukio mbalimbali ya promotion
  4. Utajifunza mbinu mbalimbali za biashara na msoko
Jambo la muhimu ni kuhakikisha unauza vitu genuine,uwe mwaminifu,uwe na utayari wa kujifunza mambo mapya na zaidi

Kwa mawasiliano zaidi:Tuma email kwenda masokotz@yahoo.com.
 
Back
Top Bottom