Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.

1; HIV

2; Ndoa zisizodumu.

3; walio telekeza familia.

4; wakaidi na wasio shaurika.

Hapa kuna wasomi wengi ambao elimu waliyo nayo haojawasaidia chochote kwajinsi ya kutambua namna ya kuishi.

Licha ya usomi lakini tukiwa hapa wengi wanajiona kanakwamba wapo dunia tofauti na binadamu tofauti, wanasahau kwamba dunia ni ile ile binadamu ni wale wale kilichobadilika hapa ni ID tu.

Hayo yatatupata kwasababu wengi tukiwa hapa tunajisahau na kujiona tuko salama sana, kitu ambacho si kweli.

Na ninyi wadada mnao jiita wasomi, ambao elimu yenu inawapa kiburi na kujiona mnajua kila kitu, basi mtaishia kuliwa hapa, ndoa mtazisikia tu wenzenu wakisimulia,
Nyie kazi yenu itakuwa kugawa burudani tu.
Na zawadi yenu kubwa itakuwa ukimwi, kutoa mimba mwisho mharibu vizazi mkawe wagumba mbele ya safari huko.

Tunajiita wasomi na maGT wakati hatuwezi hata kuvaa nguo, tupo uchi sana hapa JF.

Kama unaakili timamu basi badilika kwa faida ya maisha yako.
Ahsanteni.
 
 
inaelekea haya yanayosemwa humu yameshaotesha mizizi
 
Kombora lingine kwa wanamama wa JF,

Inaonekana yasemwayo ni ya kweli.

Kila siku nyie tuu
Usipumbazwe na mada za humu. Huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, harusi ni nyingi mno, aina mbali mbali za wanawake wanaolewa, manung'aembe, single mothers wenye umri mkubwa ndo usiseme, wenye tabia nzuri na wengine wa aina nyingi.
 
Usipumbazwe na mada za humu. Huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, harusi ni nyingi mno, aina mbali mbali za wanawake wanaolewa, manung'aembe, single mothers wenye umri mkubwa ndo usiseme, wenye tabia nzuri na wengine wa aina nyingi.
kasoro wanawake wa JF hahaha...

nimesema tuu according to wababa wa JF,

haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…