Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

Mimi Simon mkuu subri makombora toka Kwa wahusika
 
Aisee. Rafiki umetoa ujumbe mujarab ila nilichogundua jf uzi ukiwa unakaribiana na ukweli lazima usipate wachangiaji.

Ila kama mie nimekuelewa sana rafiki. Ni ujumbe tu huu kusuka au kunyoa ni kwa yule anayeyasoma na kuona yana maana kwake.

Ubarikiwe sana aisee.
 
Sheria nirahisi wala siku nyingine usijiulize !!!. Niivi.

Ukweli hata ukiwa Mmoja ....Basi katika kuupinga huitajika hoja nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii LAKINI chakushangaza Bado unabakia Kua kweli [emoji23]
 
Toka hapaa unatumia Carrot and stick kwangu !!??? .[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaniponda ,,alafu unazuga umenielewa lione[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

Kusua sua mmhh maybe but think when am not seriously .......nimekuelewa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nimecheka sana aiseee. Jf idumu tu.

"Eti lione" duuh

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ndo tabu ya kuwa domo zege.umetongoza kisha wakakupanchi,halafu waleta maneno mingi kama charahani."pambana na ushauri wako".nakuombea nusu salama hiyo namba 1 hadi 4 uvipate vyote kwamba pamoja
 
Tatizo watu ni wabishi sana !!!.. ila huo ndo ukweli .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchunguu,.nawaona nawaona baadhi ya watu wanavyojitahidi kujisahaulisha password zao za JF wasione madongo[emoji13] [emoji13] [emoji13] lakini hata kwa jirani zao watachungulia tuu,..sh'kamoo JF
 
Hahahahaa. Ukweli haujawahi kuwa mtamu aisee.

Ila kidogo kidogo dawa inaingia hata kama kikombe kimoja kitanywewa kwa siku tatu ila mwisho wa siku tayari inakuwa imetibu. Hahahaaaa

Ila mumu we chauchokozi ujue.
 
Akuu shostiii unanthingizia tuu,..mwambie Putin atafute kijiwe ameizing krismas hii tukajipongeze sisi tusiokuwa na makandokando na JF teh teh[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ewaaaa sasa kwann usinishirikishe Jogging ?? Napenda sana jogging ,ila napenda zaidi kukimbia pemben mwa mdada km wewe ngoja kwanza niishangae uchoyo wako.

Usishangae bana. Ujue nini sikuwahi kuwaza kama nawe unaweza kuwa mdau wa hii kitu.

Usijali mwakani nishtue tuwe tunafuatana basi. [emoji85] [emoji85].
 
Akuu shostiii unanthingizia tuu,..mwambie Putin atafute kijiwe ameizing krismas hii tukajipongeze sisi tusiokuwa na makandokando na JF teh teh[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahahaa. Inabidi aisee na Vladmir anapitia neno kwa neno hapo.

Nasubiria tu jibu hapa. [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…