Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

Ndo tabu ya kuwa domo zege.umetongoza kisha wakakupanchi,halafu waleta maneno mingi kama charahani."pambana na ushauri wako".nakuombea nusu salama hiyo namba 1 hadi 4 uvipate vyote kwamba pamoja
Ndo akili yako inachowaza tu hicho,??
Unadhani kila mtu ana akili za mbwa kwande kutongoza tongoza ovyo eti?
 
ahsante kaka from another mom!kuna mtu ananioneaga sana mie humu ! nampa last warning aisee !nishapata mbabe wake teh!
Niachie nimuoneshe kuwa mjini haonewi mtu,
Tena inawezekana kaja kwa mbio za mwenge, usikonde kabisa mkuu.
 
Nakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…