MpendaNchi1
New Member
- Sep 25, 2021
- 1
- 1
Heri ya mwaka mpya nyotee!!!!
Aina tatu za ndoa
1. Kuoana kwa sababu huyu anataka kuoa na yule anataka kuolewa, wakakutana kwa haja hiyo. Kinachowakutanisha ni hiyo haja. Ikishatimia kila mtu na lake na nyumba inakuwa sehemu tu ya makutano. Penzi halipo. Mama akiwa wa nyumbani, Hana habari ya kumuenga Mume Kwa usafi wa nyumba, upishi wa Chakula, kila binti wa kazi, Baba akitoka shughulini mama hana habari wala hajali kumlaki ndio kwanza atainuka kuingia ndani kulala binti au Dada wa Kazi ndiyo ataachia jukumu hilo.
Atakachifanya yeye huko chumbani kumuanzishia mabifu. Binti wa kazi hugeuka ndiye mama mwenye nyumba, ndiye atakayemkaribisha baba. Mwanamke huyo akipata watoto ndiyo kabisa malengo yake yametimia, Hana haja tena ya huyo mume asiyempenda moyoni. Visa, mikasa na hila ndio maisha.
Kwenye hili wanaume kwa upande wao huvumilia, kwa wale wasio na ndoa za mitala hutafuta nyumba ndogo ili kupata utulivu, wale wanaoruhusiwa ndoa za mitala huamua kuoa kama ataendelea kumvumilia mke huyo mke laghai asiyewajibika.
2. Kuoana kwa sababu wawili kila mmoja amemuweka mwenzie moyoni, amempenda, hii ndiyo ndoa ya kweli, hata ikitokea kutolewana kunaisha haraka
3. Mwanamke kupigania, kutafuta, kujipeleka na kuhimiza au kukubali Kwa lengo awe apate Mume bila kujali mume anapenda mradi aolewe au kuolewa kwa kuwa muoaji ana salio la kutosha au hadhi fulani katika jamii likiisha lile salio au hadhi ikiondoka, ndoa hakuna, hawa hutumiwa hata nguvu za Giza kuwazezeta waume na kama salio litaisha uzeeni au hadhi itaondoka kwa kustaafu, Mume atakuwa kwenye Moto, atadharaulika, akirudi kutoka nje ya nyumba, mke atasonya, Mume hatakiwi hadi atapigwa stroke kwa stress afilie abaki na watoto wake.
Wanandoa chukueni hadhari mapema. Pokeeni ujumbe huu kwa njia ya YESU na Mungu Mwenyezi.