Siamini inapoambiwa "kama una habari yoyote ya kuhusu elimu uweke", hivyo mtu anaweka hata matangazo ya darasani kwake (maswali aliyopewa, siku ya kukusanya n.k) Naomba kuuliza ndugu, je hapa ni mahali kwa ajili ya kuweka matangazo ya chuo, shule n.k? Je chuo hakina ubao wa matangazo? Kuuliza si ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.