Kwa wana sua end of semister itakuwa 1/03/2013

Mboyzia

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
12
Reaction score
1
KWA WANA SUA INABIDI TUMALIZE SEMISTER 1, 1/03/2013 :israel::israel:
 
Siamini inapoambiwa "kama una habari yoyote ya kuhusu elimu uweke", hivyo mtu anaweka hata matangazo ya darasani kwake (maswali aliyopewa, siku ya kukusanya n.k) Naomba kuuliza ndugu, je hapa ni mahali kwa ajili ya kuweka matangazo ya chuo, shule n.k? Je chuo hakina ubao wa matangazo? Kuuliza si ujinga.
 
nimetupia taarifa iyo kwasababu bado haijaweka kwenye ubao na imenaswa na watu wa chache
 
Ipo kwenye almanac ya sua sasa but shida ni moja tumewahi kuanza semester na tutachelewa kumaliza mwaka hadi july 26 afu pt tarh 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…