Baby shangazi
Member
- Mar 24, 2012
- 64
- 8
Kwa wale waliohitimu mwaka jana 2011, transcript zitakua tayari katikati ya mwezi May 2012 na sio April tena kama ilivyotangazwa mwanzo!
Source: www.udom.ac.tz
Tutajuta mwaka huu maana kila kaz transcript kwanza, sasa mpaka tuzipate tutakua 2mepigika vya kutosha mweee!!
Saga lami kwanza bwana mdogo!!Viatu visagike,mashati yapauke!!
Kwa wale waliohitimu mwaka jana 2011, transcript zitakua tayari katikati ya mwezi May 2012 na sio April tena kama ilivyotangazwa mwanzo!
Source: The University of Dodoma
Tutajuta mwaka huu maana kila kaz transcript kwanza, sasa mpaka tuzipate tutakua 2mepigika vya kutosha mweee!!
Mimi nimesoma Dar fuu