kwa wana udom wote.!

kwa wana udom wote.!

kingxvi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
879
Reaction score
151
tunaangalia
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu zaidi ya 1200
watakosa haki yao ya
kidemokrasia kuchagua rais wa
federation.
2.vigezo wanavyotumia kupitisha
wagombea vinakinzana na
demokrasia
3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!
 
Tupo pamoja mh! Tunahitaji kuona wanaharakati wa kweli wa kuitafuta haki!
 
tunaangalia
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu zaidi ya 1200
watakosa haki yao ya
kidemokrasia kuchagua rais wa
federation.
2.vigezo wanavyotumia kupitisha
wagombea vinakinzana na
demokrasia
3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!
Acheni kupoteza muda nyie. Nendeni mkasome
 
tunaangalia
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu zaidi ya 1200
watakosa haki yao ya
kidemokrasia kuchagua rais wa
federation.
2.vigezo wanavyotumia kupitisha
wagombea vinakinzana na
demokrasia
3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!

We si umeshafukuzwa! acha wenzako wasome! MI SUP kibao inawazungusha vchwa tena na wewe na lako la Mahakamani.
 
Back
Top Bottom