Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 9, 2012 #1 Fungua aris,check matokeo yako,then tuhabarishe una supp ngap..binafc cna supp ila nina makarai ya kutosha.over
Fungua aris,check matokeo yako,then tuhabarishe una supp ngap..binafc cna supp ila nina makarai ya kutosha.over
D DOMA JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 944 Reaction score 366 Mar 9, 2012 #2 Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 9, 2012 Thread starter #3 DOMA said: Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi Click to expand... cko kwenye 2 mkuu,nachezeaga kwenye 3 cku zote.
DOMA said: Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi Click to expand... cko kwenye 2 mkuu,nachezeaga kwenye 3 cku zote.
Mkomamanga JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 815 Reaction score 189 Mar 9, 2012 #4 Mbona umesema kwa wana udsm tu halafu kuna saut tena? Ila nionavyo saut kitabu ni zaidi maana mwasoma hadi j1? Si wenzenu j1 hatumo ni kujisomea tu.
Mbona umesema kwa wana udsm tu halafu kuna saut tena? Ila nionavyo saut kitabu ni zaidi maana mwasoma hadi j1? Si wenzenu j1 hatumo ni kujisomea tu.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Mar 10, 2012 #5 Nina supp 5.
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 722 Reaction score 301 Mar 10, 2012 #6 Husninyo said: Nina supp 5. Click to expand... hongera, wengine wana sup 8.
K kipuyo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 1,785 Reaction score 1,467 Mar 10, 2012 #7 mbona ya masters hayapo?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 10, 2012 Thread starter #8 Husninyo said: Nina supp 5. Click to expand... apply chuo kingne tu,ushadisco wewe.
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,102 Mar 10, 2012 #9 Ngoja nikutumie jina langu na password unicheck! Naogopa sana
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,374 Mar 10, 2012 #10 Aise hebu niabgalizie na mimi aise nakutumia no hapo
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 10, 2012 Thread starter #11 MNYISANSU said: Ngoja nikutumie jina langu na password unicheck! Naogopa sana Click to expand... we fungua na ucheck mwenyewe mkuu.kwan uko college gan wewe,kama uko coet nakupa pole in advance?
MNYISANSU said: Ngoja nikutumie jina langu na password unicheck! Naogopa sana Click to expand... we fungua na ucheck mwenyewe mkuu.kwan uko college gan wewe,kama uko coet nakupa pole in advance?
Jitihada Senior Member Joined Feb 6, 2011 Posts 155 Reaction score 10 Mar 10, 2012 #12 Mbona kwangu hayapo??
S sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Mar 10, 2012 #13 hongera sana mwaya,maana wenzio hata hiyo supp hawana
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Mar 10, 2012 #14 MNYISANSU said: Ngoja nikutumie jina langu na password unicheck! Naogopa sana Click to expand... Mkuu ni jina au registration number?
MNYISANSU said: Ngoja nikutumie jina langu na password unicheck! Naogopa sana Click to expand... Mkuu ni jina au registration number?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Mar 12, 2012 #15 Senetor said: cko kwenye 2 mkuu,nachezeaga kwenye 3 cku zote. Click to expand... we si ndiyo mwenye average ya 3.7-3.9, ushajichanganya tena? Kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nilishasema we una GPA ya mkwe.re ukabisha....hiyo average siyo 3 kama unavyojinadi
Senetor said: cko kwenye 2 mkuu,nachezeaga kwenye 3 cku zote. Click to expand... we si ndiyo mwenye average ya 3.7-3.9, ushajichanganya tena? Kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nilishasema we una GPA ya mkwe.re ukabisha....hiyo average siyo 3 kama unavyojinadi
N Nguto JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,669 Reaction score 1,795 Mar 15, 2012 #16 Duh makarai ya kutosha!! Hii itakuwa pass degree. DOMA said: Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi Click to expand...
Duh makarai ya kutosha!! Hii itakuwa pass degree. DOMA said: Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi Click to expand...
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Mar 15, 2012 #17 Kwa hapa BAED Wagawaji wa sup ni CL 106,EP101,na EF100 I
The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 459 Mar 15, 2012 #18 Huko sheria kwetu si ndo matatizo kabisa?
The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 459 Mar 15, 2012 #19 Husninyo said: Nina supp 5. Click to expand... Hee husninyo mbona we muongo sana ivo?Mara hii ushajirudisha chuoni?
Husninyo said: Nina supp 5. Click to expand... Hee husninyo mbona we muongo sana ivo?Mara hii ushajirudisha chuoni?