Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

Kama nimekuelewa vizur ni hv!!! Kikawaida kila mtu ana haki ya kuchagua mfuko anaoutaka ndio mana unakuta hata kupeleka michango napo kunatofautiana kulingana na taratibu za mfuko
 

Kujua michango sio muhimu. Muhimu kutulipa mafao yetu kwa wakayi bila ya usumbufu
 
!
!
Nilihakiki January Salio ni lile lile nimehakiki July ni hilo hilo... Mfyuuuu wizi mtupu.
 
hivi naweza pata mafao yangu bila barua toka kwa mwajiri wangu wa zaman, maana nimeangalia salio nina chochote na mm kwa sasa cpo dsm, mwenye ufaham juu ya hili naomba anipe maelekezo.
Hapana ni ngumu sana kupata mafao yako bila barua kutoka kwa mwajiri
 
Hapana ni ngumu sana kupata mafao yako bila barua kutoka kwa mwajiri
Kama upo kwa muajiri mpya barua inayotumika ni ya muajiri mpya si yule wa zamani na kama hujawahi kuendeleza michango tangia uachane na muajiri wa zamani basi barua lazima upate toka kwa muajiri wa zamani.
 
Hivi ni kwel kuwa sheria imebadilika ya mtu ukiacha kaz ati ukishamaliza taratibu zote baada ya miez 6 ndo unapata mafao yako?? Nawaswas apa!!! Msaada tafadhali
 
Hivi ni kwel kuwa sheria imebadilika ya mtu ukiacha kaz ati ukishamaliza taratibu zote baada ya miez 6 ndo unapata mafao yako?? Nawaswas apa!!! Msaada tafadhali
Hakuna taarifa ya kubadilika kwa sheria bali ucheleweshaji umeonekana kwa sababu ambazo mpaka sasa haziko wazi.
 
Mana kuna siku niliwauliza kuwa mabadiliko ayo Kama ni kwel yapo basi naomba kuyaona aliyepokea simu akaniambia aya marekebisho uwez kuyaona ni mambo ya kiofisi!!! Hivi ni sahihi au kuna nn kinaendelea sasahv!!! Mana unakuta ni pesa mtu unaitegemea kwa mambo yako na haki yako kimsingi mana ulifanya kaz na hcho ndio ulijiwekea
 
Hiyo ya miezi sita hata mimi nimekutana nayo Arusha nikaomba maandishi yanayoonyesha hiyo kitu nilipata majibu mabaya sana. Hawana maana ni wabovu na wababaishaji tu. Kama kuna mtu alienda tarehe 2/8/2016 kulikua na waraka unaoonyesha ukiachiwa kazi wanafanya uhakiki wa siku 30 kujua kama kweli umeachishwa kazi ndio uendelee na process nyingine sasa cha kushangaza wametoa ule waraka halafu wanakujibu tu kwa mdomo kua mafao ni baada ya miezi sita uupuzi mtupu.
 
Kuna zengwe apa sasa nini kinaendelea na ww umeamuaje
 
Afu na hii namba ya kujisajili na kuangalua kias kilichochangia mbona nkituma inaniambia not deliverd au ndo kusem wkend hawafany kaz mana siwelew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…