Advocate mtetezi part 2
Member
- Dec 28, 2017
- 59
- 43
Imefika wakati wa kuwa watetezi na sio wahukumzu lakini kwa hili linalofanywa na klabu ya stand united na acacia(ingawa walivunja mkataba ) litazamwe na Serikali mana (TFF) sijui kama wanaguswa nalo.
Ndugu zangu tunakumbuka mwaka 2015 mwezi July Klabu ya stand united waliingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya shilling billion 2.4 na kampuni ya Acacia Gold Mine Bulynhulu ya Shinyanga.
Ndugu zangu huu mkataba in billion 2.1 kwa Mwaka yani Simba na Yanga kuanzia ile.mikataba yao n tbl iliyoanziaga kwa.million 654 wala hii mipya na sportpesa ambao wanavuna so chini kwa.Mwaka shilling 888,000,000 hawaoni ndani.
MY POINTI kuna wachezaji wa stand united ambao sasa wengine waliachwa,waliondoka wameathirika na mkataba kuvunjwa mwezi wa 8 Mwaka 2016 hawajalipwa stahiki zao.mpaka Leo.Nimeandika haya baada ya siku za karibuni kumsikia Mussa Kisoky mwenyekiti wa umoja wa wachezaji wa soka SPUTANZA akihojiwa na kusema karbu milioni 130 znaweza.kufika wanazodai wachezaji hao.(nitagusa baadae sababu ambazo zilisababisha mkataba kuvunjwa).
Mwenyekiti wa klabu ya Stand united Daktari Maeja nilimskia nae akihojiwa kwenye hichohicho kituo cha radio akikwepa mzigo huu kwa kusema klabu ya Stand united inatajwa tu lakini Acacia ndo wanapaswa kulaumiwa kwa kuvunja mkataba kihuni.
SWALI LANGU wachezaji hawa watalipwa na nani na je muajiri wa wachezaji hawa alikuwa ni Acacia au Stand united.
Tunajua klabu ilipitia wakati mgumu mpaka juzi kupewa sh m 100 na bikosports na kuomba m 30 zitangulizwe zilipe mishahara ya wachezaji wa sasa ambao no wavumilivu kwani miezi kadhaa hawakulipwa.(hawa hawasiani na wanaodai ambao wengine hawapo stand sasa)..
Wataalamu wa sheria tumshauri waziri Mwakyembe anaingiaje hapa maana mkataba ulishavunjwa na msemaji wa kampuni ya Acacia Mwaka 2016 Necta Foya alinukuliwa akisema walifanya evaluation ya Mwaka nakukuta uozo wa kutokuwepo kwa utaratbu mzuri wa viongozi na matumizi mabaya ya fedha.na nilipopitia kwa salehe jembe Mwaka 2016 walisema sababu ni Tff kuwatambua viongozi wengine ambao hawakuwepo kipindi klabu inasimama .