Juzi nilipigwa Exile Saa sita hadi saa8,Usiku saa2 hadi saa5,sema nlikua najisomea,Exile ilikua na Faida
Kwa Hapa chuoni hasa chuo Kikuu na Vingine Tanzania kila mtu ameondoka kwao akapate Elimu pale.Kwa Hapa Chuoni kwetu First Year ambao ndo wanasemester moja,hasa wadada wa udsm na campas zake wana mahusiano na mwaka wa2 na 3 na wao wenyewe kwa wenyewe.Na unakuta wanaune wa hapa wana mpenzi zaidi ya mmoja na wote ni wa chuo hapahapa.Kuna jamaa alimpenda dada hapa,dada akampa masharti kua wawe wapenzi ila kutangulizana ndani ya chuo marufuku kama ni kuonana ni mjini tu.Je unadhani chuoni kuna mapenzi ya dhati ama ni kukata kiu ya mapenzi ama Mapenzi yakoje chuoni uonavyo wewe,je kuna Upendo Na Ukweli
Wewe hawa wanachuo dada zetu hamna kitu utakuta anamiliki mabwana kama kum wizara mbali mbali
Juzi nilipigwa Exile Saa sita hadi saa8,Usiku saa2 hadi saa5,sema nlikua najisomea,Exile ilikua na Faida
Wewe hawa wanachuo dada zetu hamna kitu utakuta anamiliki mabwana kama kum wizara mbali mbali
Ndo mambo ya chuo hayo dogo,wewe ukitaka ufanikiwe fuata kilichokupeleka,asilimia kubwa ya mapenzi ya chuo huisha imediately baada ya kumaliza chuo,hapo boom linakua limeisha then kila mtu anarudi kijijini kwao jobless..
Juzi nilipigwa Exile Saa sita hadi saa8,Usiku saa2 hadi saa5,sema nlikua najisomea,Exile ilikua na Faida
Mi ninaye mwaka wa pili na ananipenda kweli, jana tu nlikuwa naye udbs full furaha, ukikaa naye unaenjoy. Anaöngea critical issue mpaka unajenga imani kuwa huyu ni wife material.
Simtafuti ananitafuta, simsms ananisms @day.