Kwa Wanafunzi tu: Nunua Laptop, Flashdisk, Bag, Karspersky ANti-Virus, Wireless Mouse @410$ tu

favoured

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Habari Wanajamii (hasa wanafunzi au wazazi wa wanafunzi )

Napenda kuwatangazia wanafunzi wote , kuna offer ya manunuzi laptop zinatolewa na Kampuni ya EVE technologies
unaweza kuandika oda yako katika website link au ukapiga simu 0766315158, tunao mawakala wetu katika kila chuo ili kusaidia manunuzi na Elimu bora yenye vifaa vizuri.

Offa yetu ipo kakika mgawanyiniko huu:

i)Pata laptop offer pack kuna mashine tatu zipo katika offer (Lenova g500, Acer E 15, Toshiba C850 ) zote tunakupa na begi+flash+wireless mouse and Antivirus ya mwaka , Angalia zaidi katika attachment hizo

ii)Unaweza pia pata laptop yeyote uitakayo kwa bei ya punguzo kwa sababu wewe ni mwanafunzi

Ingia kwenye website yetu link hii http://evetechtz.com/index.php/home/offer
j
Jaza jina na namba na chuo alafu toa order yako kwenye subject kisha utapigiwa na mawakala wetu

Asanteni na karibuni
 

Attachments

Tusaidieni na sisi walimu wao. Link ya attachment siyo active
 
Tutajie bei ili tujue kama ina offer kweli au ndio ujasiliamali
 
Elisante angalia juu pale kwenye subject bei ni $410 vifaa vyote hivyo hapo, ukibadili kwa shilingi za kitanzania laki saba, Mawenzi -walimu pia wanaruhusiwa kuapply
 
Last edited by a moderator:
Hivi mikopo ya wanafunzi wanapewa kwa dollars au TZS? Huu ujinga wa kuendekeza pesa za kigeni siupendi kabisa. Tunakuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe.
 
jamii forumu matangazo madogo ni duka linalouza bidhaa zake kwa bei ghari sana kuliko maduka yote hapa nchni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…