Kwa wanafunzi wa Civil engineering, Architecture na VETA

Kwa wanafunzi wa Civil engineering, Architecture na VETA

BUZZA

New Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Kitabu hiki muda si mrefu kitakuwa sokoni, kinatoa mwogoza jinsi ya kuwa mchoraji mzuri kwa kutumia autocad software ambopo kila civil student lazima awe na iyo software usikose kitabu hiki waweza toa oda kipita kwa namba hii 0759589632
 
Unaweza ukanitajia bei yake mkuu
 
Title ya kitabu yakheeeeee...
 
Watafutieni na vitabu vya kujifunza ujasiliamali. Huku mtaani hakufai.
 
Back
Top Bottom