Kwa wanafunzi wa Mass Communicatuin wa Open University na Tumaini University, campus za Dar

Kwa wanafunzi wa Mass Communicatuin wa Open University na Tumaini University, campus za Dar

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa wale wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria na Tumaini vyote vya hapa Dar es salaam watakaohitaji tuition au masomo ya ziada kutokana na kukosekana walimu wa kutosha haswa kwa masomo ya Mass Communication na Journalism kwa ngazi za Certificate, Diploma na Degree kuna mkufunzi ameanzisha kituo chake cha kufundisha masomo hayo pale Zoom Polytechnic College, tena kwa bei nzuri na siyo ya kuumiza kwa kila modules.

Kama wewe ni mlengwa na muhitaji wa huduma hii ya tuition haswa ukizingatia kuwa kuna vyuo wanafundishwa kwa elimu ya masafa kama chuo kikuu huria na pia kuna wanafunzi wa vyuo vingine ambao unakuta wanakosa walimu basi jipangeni na wasilianeni nae huyo mwalimu kwa kupitia namba yake hii 0774 072 792.

Hata wale walioko maofisini na wanahitaji kusoma mida ya jioni masomo hayo ya Mass Com nao wanakaribishwa na wawasiliane na huyo mwalimu ili waweze kupangiana ratiba nzima. Ila yupo tayari kufundisha kuanzia asubuhi kwa wale wanafunzi ambao hawako makazini na pia yupo tayari kufundisha jioni kwa wale wanafunzi wafanyakazi watokao makazini.

Asanteni..
 
Back
Top Bottom