acha pumba mtu mzimaMimi nilikwazika siku moja, hapa JF niliweka mada nikihisi itakuwa msaada kwa jamii badala yake ikawa shubiri...ilihusu vifurushi vya chuo!
Je wewe mwenzangu..
Nikushishue?Ngoja nikumbuke
Utakua umenionea na ukiniacha umeniogopaNikushishue?
Chagua moja nikufanyeje? Nikuonee au nikuogope?Utakua umenionea na ukiniacha umeniogopa
Mie hata sijui nimekuachia weweChagua moja nikufanyeje? Nikuonee au nikuogope?
Mi sikuogopi wala nini, nakushushua mwanzo mwisho......Mie hata sijui nimekuachia wewe
Hebu anza kama sijakufinyaMi sikuogopi wala nini, nakushushua mwanzo mwisho......
Em lala huko usniletee mchana hapaHebu anza kama sijakufinya