Kwa wanaJF walio Singinda Mjini naomba mwenyeji wa kunipokea

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Nipo Nduguti naelekea Singida Mjini. Naomba kwa mwenyeji anipokee Stendi anitoe tongo tongo za mji huu.

Natanguliza shukrani.

0624274356
 
Ok,ukishuka stendi njoo direct serengeti bar karibu na furaha cinema.

Umeoga na kuulamba ki-sister duuu au migauni mirefu mpaka kwenye ugoko?

Napenda demu quality sio mshamba mshamba kama wale wa Iyambi na Ndago.

Weleleyaani?

Karibu,kama una viwango nilivyosema.
 
Kwamba Singida Kama Singida unahitaji mwenyeji😆!.
Uujue mji😆!
Kuna miji ya kuomba wenyeji aisee..Tena Bahati mbaya naamini Bongo haipo bado!(jokes)
Mfano ukatupwa Ufaransa👀
 
tusipotoshane
shukrani mkuu kwa kunikaribisha,
Mkuu miye ni me siyo ke,
Nakuja Singapore kutafuta maisha hasa nimekuja na jiko langu ili nichome mishikaki.
Kama una kijiwe unakijua kinaitaji mchomaji we nishtue
 
Mji wa Singida mzuri kiasi chake,pale town...
 
tusipotoshane
shukrani mkuu kwa kunikaribisha,
Mkuu miye ni me siyo ke,
Nakuja Singapore kutafuta maisha hasa nimekuja na jiko langu ili nichome mishikaki.
Kama una kijiwe unakijua kinaitaji mchomaji we nishtue
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…