kuna raha gani kuifuata mahakamani hii haki?
Atakuvalia shanga kweli au kukuvibrate?
Mpaka mwenzio kunyima nanii hivi ana lengo gani? Vipi kuoa/kuolewa kuna faida au raha gani mpaka kupelekana mahakamani?
Ever heard this concept of loosing interest? Sasa wenzetu wazungu wanayo. U cant divorce, hutaki kutoka nje, u go to court
Hiyo kwenda kwenye court nikitendo gani mahakama kitafanyika ili mwenzio afanye tendo la ndoa na wewe?
Umeshaambiwa ataamriwa, au hujasoma?
Mpaka mwenzio kunyima nanii hivi ana lengo gani? Vipi kuoa/kuolewa kuna faida au raha gani mpaka kupelekana mahakamani?
hapo kaandika court itamwamuru kulipia fidia sio kufanya tendo la ndoa.
Hiyo kwenda kwenye court nikitendo gani mahakama kitafanyika ili mwenzio afanye tendo la ndoa na wewe au kutoa fidia kwa ajili ya nini haswa sijaelewa kiufupi?
Rudi juu usome upya!!!!!!!!!!!!
Umeshaambiwa ataamriwa, au hujasoma?
Aliyeshtaki atatoa taarifa ya maendeleo.Mahakama itajiridhishaje kama maamuzi yake yanatekelezwa ipasavyo? Na vipi endapo kila upande wa mashtaka ukivutia upande wake, kwamba mdai akisema sipewi, mdaiwa akidai anampa. Pagumu hapo...