kwa wanandoa wanawake-kwa nini ujichoshe na mume?

huku ni kusadikika hakuna maana yoyote matangazo mengine haya hata tija
 
Hivi smile, hivi vituko huwa unavipata wapi? maana dah..... nikifungua nyuzi zako lazima kwanza nicheke, sometimes hadi boss anajua kumbe sifanyi kazi bali nabrauzi internet. Ila safi sana maana napata nafasi ya kufungua mdomo .....
 
Mkuu unatisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…