Kwa wanao elewa please help......!!!!!!!!!!!

Kwa wanao elewa please help......!!!!!!!!!!!

nitta

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
62
Reaction score
1
HELLO GUYS..... kwenye selection ya vyuo kwa diploma sehem ilipo andikwa capacity na applied so far ina maanish anini coz sielewi kabisa..........niwekeni huru plz
 
Ninavyofahamu mim capacity ni idadi au jumla ya wanaotakiwa kusoma coz husika na applied ni idadi ya walioaply hiyo coz
 
umepatia kabisa,na hapo kwenye applied so far,wanafafanua zaidi kwa kuonyesha walioapply kama choice one na wangap hadi choice five then total ya walioapply pia
 
Back
Top Bottom