HELLO GUYS..... kwenye selection ya vyuo kwa diploma sehem ilipo andikwa capacity na applied so far ina maanish anini coz sielewi kabisa..........niwekeni huru plz
umepatia kabisa,na hapo kwenye applied so far,wanafafanua zaidi kwa kuonyesha walioapply kama choice one na wangap hadi choice five then total ya walioapply pia