Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaoamini katika kupangiwa mke. Lakini utakuta mtu anajiwekea vigezo katika elimu, umri, kabila na pengine rangi. Utasikia siwez kuoa mtu aliyeishia std 7 au siwez kuoa au kuolewa na mtu wa kabila fulani. Sasa siyo kujipangia? Nawasilisha