Kwa wanaofahamu tu!!!

Joined
May 24, 2012
Posts
84
Reaction score
33
Hivi hawa secreteriat ya ajira wanatumia njia zipi/kuita kwenye intavyu? nina wasiwasi nisaidieni. kwa wanaofahamu nisameheni kwa usumbufu wangu.
 
Nina mashaka na swali lako, unataka criteria au njia? Kama unauliza njia ni wazi wanatumia contact ulizoweka kwenye application zako!
 
Nina mashaka na swali lako, unataka criteria au njia? Kama unauliza njia ni wazi wanatumia contact ulizoweka kwenye application zako!

asante mzee, lengo sio kriteria bat komunikashen style yao, i mean sim, magazet, radio, tv, net, au chochote kinachofanana nacho, nijuzeni vyote ili niwe tuned
 
Huwa wanatoa majina wale wanaotakiwa kwa ajili ya usaili. Na hutoa kwenye website yao na kwenye magazeti!
 
zux yuko ryt, wanatoa kwenye magazet au website zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…