wakuu naomba munisaidie kama m2 anajua maombi ya vyuo vya kilimo deadline yake mwisho lini na facat gan nzur kusomea na ada shilingi ngapi na vigezo katka ufauru ukoje??
Wewe mwenyewe umetoa maelezo nusunusu,hujasema umefaulu kwa kiwango gani ,Kwanza ni nani alikudanganya form four direct anaweza kujiunga chuo kikuu TZ? hata kama una 'wani' ya saba, dogo chuo kikuu huwezi kwenda moja kwa moja, ni mpaka umalize form six na ufaulu,kama una cheti cha form four peke yake nakushauri tafuta kwanza certificate/diploma halafu ndo uanze kuwaza habari za chuo kikuu. Kama hujaelewa tena... basi