Kwa wanaofanya mitihani ya board NBMM

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
Wandugu kuna habari ambazo s njema kwa waliojiandikisha kufanya mitihan ya board ya ugavi NBMM!ni hivi:mwanafunzi haruhusiw kufanya mitihani zaidi ya minne kwa wakati mmoja!hii ina maana kwamba hata ukiwa una referal a somo moja kwenye course yako huruhusiwi kufanya mengine ya level inayofuata had umalize hilo moja ulilobakiza!je hzi habari zina ukweli?kama ni kweli bas board watu watakaua wanamaliza baada ya miaka 6!
 
Mh sijafatilia, ila nategemea kufanya this year. Vipi wanaruhuru kufanya stage 2 kwa wakati mmoja?
 
Nbmm ndio nin wakuu,ebu nielimishen mwenzenu.
 
NBMM ni national board of materials mgt!stage 2 kwa mkupuo ndio wamepiga pin.kwa hiyo huwez kusoma mf.P3 and P4 kwa wakat mmoja!na ukikamatwa somo 1 kwenye P3 lazima umalize ndio uruhusiwe kufanya P4
 
NBMM ni national board of materials mgt!stage 2 kwa mkupuo ndio wamepiga pin.kwa hiyo huwez kusoma mf.P3 and P4 kwa wakat mmoja!na ukikamatwa somo 1 kwenye P3 lazima umalize ndio uruhusiwe kufanya P4
hata cjaelewa bado,hyo bodi inadil na mambo gan na hyo mitiani mnafanya ya nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…