ukiwa chuo hiyo pesa ni ndogo sana kama hauna source nyingine! Mbaya zaidi kuna wakati haiji timely! Ndo maana mnaona watu wanaandamana kila wakati! So be wise katka matumizi na ku find more sources!
Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi
MIPANGO ITAKUA HIVI....
mpaka namaliza chuo ntahakikisha haya...
-dogo anaenda shule
-ntajitahidi hata kiwanja nipate
-ntabuni miradi,au ka sio kubini ntaandaa mazingira ya miradi hasa baadae
-ntahakikisha najitosheleza kielimu
-matumizi yasiyo ya lazima(starehe) ntajitahidi kuweka kando!!!
IFAHAMIKE KWAMBA MASELA KIBAO WAMEKOSA BOOM..KAMA TUMEPATA TUTUMIE VIZURI TUSIJE JUTA...hayo ni mawazo tu wakuuu......
Mkuu kama uko expirienced na haya masuala si vibaya ukitujuza sie ma-seniour tunaoenda kuanza college life...masuala mazima ya kutumia boom kimaendeleo zaidi.
we ningaR Ha ha ha ha kula tu na Technology kweli utampata mkubwa mwenzako mbele ya safari!ivi akija kama kukuomba hela kama ndugu na jamaa yako huyo mdada utamnyima?Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi
we ningaR Ha ha ha ha kula tu na Technology kweli utampata mkubwa mwenzako mbele ya safari!ivi akija kama kukuomba hela kama ndugu na jamaa yako huyo mdada utamnyima?
Mpango mzma huo ndo msimamo wa maisha nikuwakimbia maana madem wa cku hz wanakugawia na boom la ngoma aaaaa ctak bint nicjenikakatisha kula boom langu.mi ni Evora tu basiiMsaada natoa kwa mwenye shida.
Mpango mzma huo ndo msimamo wa maisha nikuwakimbia maana madem wa cku hz wanakugawia na boom la ngoma aaaaa ctak bint nicjenikakatisha kula boom langu.mi ni Evora tu basii
Lampard ni nini?
Pasi ndefu, yani formula ni 001, 010, 101, 011, 110.
Binary. Ni 101,001,010 or 011 unachagua mwenyewe 2 binary code ya ku2mia
Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi
Binary. Ni 101,001,010 or 011 unachagua mwenyewe 2 binary code ya ku2mia
Dah me nikua m2miaji wa 011, mambo ykiwa mabaya zaidi ntakua napiga 001 ila hyo itakua inapgwa katikati ya mchana na Usiku.