Asante sana mkuu...ila mimi sina shaka na hilo kwa sababu nilijifungulia M pesa baada ya kumaliza tu form six..hivyo kiasi chake salio linasoma by the time nikiwa chuo nitaajiri mtu....Mwanaume kukomaa tu.
Pasi ndefu, yani formula ni 001, 010, 101, 011, 110.
Kijana shukuru mungu kupata hata hiyo 0% kuna wengine wameambulia NIL kabisa mtafute SAMRICH1 atakusaidia ushauri
to be honest namshukuru mungu kwa kdogo nilchopata but i thnk i deserve more sababu vgezo vyote ninavyo na cjui wametumia vgezo vp kunipa cfuri xo am not satisfied i have 2 appeal
kama kawaida hapa ni mwendo wa 1 saa 6mchana nyinginevsaa 3usiku, sasa hiyo iko group gani??
Hiyo si 011 mkuu. Tena hapo umepiga penetration pass tunasema wazoefu.