Sisi ni wafugaji wa kware wa mayai ambao hutaga wiki sita tu baada ya kuanguliwa na huendelea kutaga kila siku kwa miezi 30. Kwa mwaka hutaga wastani wa mayai 280 hadi 300. Tunauza vifaranga (kware) wa wiki moja shs. 4000, Wiki mbili shs. 6000, na wiki nne shs. 8000. Tuko Mbezi Luis, wilaya ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam. Tunapatikana kwa simu no. 0715 284 187 au 0715 342429. Tunatoa elimu ya ufugaji bure. Mayai pia tunayo bei ni shs. 20,000 kwa trei. KARIBUNI