Kwa wanaohitaji mayai ya kienyeji kwa afya

njija

Senior Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
110
Reaction score
62
Mwenzenu nimeanzisha biashara ya mayai ya kienyeji toka Singida, ndio kwaanza natafuta soko, trey moja 12,000/= kwa wanao hitaji 0783 555603 au kama unaushari juu ya biashara hii wa weza nisaidia ili nisonge mbele kwani nimeleta kwa mara ya 3 sasa.
 
Singida unanuua kwa kiasi gani manake nafikiri mimi naweza kukuuzia hapahapa mjini kama uko dar kwa bei unayonunulia singida ukaepuka gharama ya usafiri.mimi nimewafuga kuku wa kienyeji wengi tu
 
Nikipata dar mayai ya kienyeji ntafurahi, lakini tatizo naogopa kuku wengine ni machotara halafu wamekula madawa. Na lengo langu ni kuuza mayai mazuri kwa afya.
 
uko maeneo gani? au mpaka tukupigie?
 
Aine, napatikana maeneo ya posta mpya ukinipigia nitakuelekeza vizuri jinsi gani ya kunipata.
 
Ndugu yangu Ureni, uliniambia kuwa unaweza kuniuzia mayai ya kienyeji vipi mbona kimya? nilikuuliza kuku wako sio chotara?
 
Ndugu yangu Ureni, uliniambia kuwa unaweza kuniuzia mayai ya kienyeji vipi mbona kimya? nilikuuliza kuku wako sio chotara?

Umejaribu ku-pm upate majibu? Ninasubiri majibu ili mimi niwe mteja wa mayai hayo.
 
kuna dada anauza ya kienyeji kwa elfu 10 trei moja,kuku wa kienyeji sio chotara
 
kuna dada anauza ya kienyeji kwa elfu 10 trei moja,kuku wa kienyeji sio chotara

Mkuu,
umecheki mazingira anayofugia pamoja na chakula anachotumia? Wanaweza kuwa kuku ni wa kienyeji,lakini wanalishwa vyakula vya ajabu. Nisaidie kwa hili.
 
Reactions: LAT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…