Tunatambua mahitaji ta wadau mbalimbali katika kudai haki mbalimbali, najua siyo yote yanaweza kuelezeka hapa kwa jamii forum, kuna mambo ambayo ni so personal mtu hawezi kujieleza humu, mwenye swala lolote anaweza kunitumia email kwa email ya rsongea@yahoo.com ili kusaidiana kwa mambo haya, na kwa wale walio Lindi na Mtwara waweza kututembelea hapa Mtwara kwa msaada zaidi. Tusaidiane wapendwa japo kwa kidogo tulichojaliwa