Kwa wanaohitaji tiles cleaner/dawa ya kusafisha tiles/vigae

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Wadau
Najua wengi wenu mnatumia Tiles majumbani mwenu ,kwenye biashara ,nyumba za ibada,hata hapo ulipokaa nk ..lakini suala la usafi wa Tiles huwa ni changamoto ....mara nyingi utakuta kuna weusi hasa katikati ya tile na tile...wengi wetu huwa mpaka tunauzoea..sasa hii dawa ndio kiboko ya uchafu huo!!!!Tiles Cleaner I ni kiboko ya uchafu na inauzwa kwa bei nafuu sana,kwa sasa kuna packages za lita 1,5 na 20 ,hizi ni kulingana na mahitaji...kwa wanaohitaji tunapatikana kwa simu namba 0656544060,tutakufuata....kama unahitaji uone sample inavyofanya kazi vilevile tutakuonyesha!!!karibuni wote!!


simu namba : 0656 544 060 tunapatikana Dar es Salaam kwa sasa......................
 
inafanyaje kazi?
kiasi gani cha cleaner kinaweza kusafisha kiasi gani cha tiles?.
bei poa ni sh.ngapi?
 
inafanyaje kazi?
kiasi gani cha cleaner kinaweza kusafisha kiasi gani cha tiles?.
bei poa ni sh.ngapi?

bei ya jumla 1 ltr = Tzs 2500 ,rejareja 1ltr = Tzs 3000 .., kuhusu ukubwa wa eneo sina uhakika sana lakini ni reasonable coverage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…