Kwa wanaohitaji vifaranga vya vilivyokwisha kuzwa.

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics,
wanauzwa wa kuanzia wiki mbili mpaka mwezi na nusu,
kwa wateja wa Singida,Dodoma,Tabora,Shinyanga,Morogoro,Manyara,Dar es Salaam na Arusha watasafirishiwa,
kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia 0784308970
 
Location? Bei? Capacity yaani unao wangapi? Payment terms maana malipo ya awali sasaivi watu wamelizwa labda uwe na wakala kwenye hiyo mikoa akupokelee hela mzigo ukifika. Vinginevyo...
 
Wapo Singida,wapo 400,na malipo ni nusu kabla ya mzigo na kumalizia baada ya kupokea mzigo.
Location? Bei? Capacity yaani unao wangapi? Payment terms maana malipo ya awali sasaivi watu wamelizwa labda uwe na wakala kwenye hiyo mikoa akupokelee hela mzigo ukifika. Vinginevyo...
 
bei ya kifaranga mmoja wa wiki 2, 4 na 6 zikoje?
Garama za usafiri zikoje mpaka dar kwa vifaranga 100?
 
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics,
wanauzwa wa kuanzia wiki mbili mpaka mwezi na nusu,
kwa wateja wa Singida,Dodoma,Tabora,Shinyanga,Morogoro,Manyara,Dar es Salaam na Arusha watasafirishiwa,
kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia 0784308970

kwenye red hapo, umesema ni Malawi na wana rangi ya Kanga na nyeupe, hapo sijaelewa kabisa na uzito ulio utaja si kweli kabisa si kwamba hatuwafugi hao Malawi,hawezi fikia uzito wa hadi kilo 5 akiwa na miezi 3 na hata akimaliza mwaka hawezi fikia huo uzito na akijatihidi sana ni kilo 4 ila wengi huchezea kilo 3.5 hivyo kusema miezi 3 wanakuwa na kilo 3-5 ni kutudanganya Malawi ni breed ya kawaida sana na haiwezi fikia hapo

Na watu wajaribu kuwa wakweli kwenye maswala ya crossbreeding,hii shughuri imeharibu breeds nyingi sana na matokeo yake ni kupata vitu visivyo julikana
 
Na kweli haujanielewa maana yangu ni kwamba kuanzia miezi mitatu na kuendelea mbele wana uwezo wa kufikia hizo kilo nilizotaja na sio kwamba wanakua na kilo 5 kamili wanapofikisha miezi 3,nashindwa namna nzuri ya kukuelezea
kwenye red hapo, umesema ni Malawi na wana rangi ya Kanga na nyeupe, hapo sijaelewa kabisa na uzito ulio utaja si kweli kabisa si kwamba hatuwafugi hao Malawi,hawezi fikia uzito wa hadi kilo 5 akiwa na miezi 3 na hata akimaliza mwaka hawezi fikia huo uzito na akijatihidi sana ni kilo 4 ila wengi huchezea kilo 3.5 hivyo kusema miezi 3 wanakuwa na kilo 3-5 ni kutudanganya Malawi ni breed ya kawaida sana na haiwezi fikia hapo

Na watu wajaribu kuwa wakweli kwenye maswala ya crossbreeding,hii shughuri imeharibu breeds nyingi sana na matokeo yake ni kupata vitu visivyo julikana
na kuhusu rangi ni aina kanga kanga waweza kuwa nyeusi na nyeupe ama brown na nyeupe sijui kama umenielewa.
 
Wiki 2 ni sh.2000,wiki4 ni sh.3000 na wiki 6 ni sh.3500,kwa Dar es ni sh.200 kwa kila kifaranga,karibu mpendwa
bei ya kifaranga mmoja wa wiki 2, 4 na 6 zikoje?
Garama za usafiri zikoje mpaka dar kwa vifaranga 100?
 
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics,
wanauzwa wa kuanzia wiki mbili mpaka mwezi na nusu,
kwa wateja wa Singida,Dodoma,Tabora,Shinyanga,Morogoro,Manyara,Dar es Salaam na Arusha watasafirishiwa,
kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia 0784308970

Me labda ukiuza tugawane faida ata siku moja tukale bata
 
Back
Top Bottom