Location? Bei? Capacity yaani unao wangapi? Payment terms maana malipo ya awali sasaivi watu wamelizwa labda uwe na wakala kwenye hiyo mikoa akupokelee hela mzigo ukifika. Vinginevyo...
Wapo Singida,wapo 400,na malipo ni nusu kabla ya mzigo na kumalizia baada ya kupokea mzigo.
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics,
wanauzwa wa kuanzia wiki mbili mpaka mwezi na nusu,
kwa wateja wa Singida,Dodoma,Tabora,Shinyanga,Morogoro,Manyara,Dar es Salaam na Arusha watasafirishiwa,
kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia 0784308970
na kuhusu rangi ni aina kanga kanga waweza kuwa nyeusi na nyeupe ama brown na nyeupe sijui kama umenielewa.kwenye red hapo, umesema ni Malawi na wana rangi ya Kanga na nyeupe, hapo sijaelewa kabisa na uzito ulio utaja si kweli kabisa si kwamba hatuwafugi hao Malawi,hawezi fikia uzito wa hadi kilo 5 akiwa na miezi 3 na hata akimaliza mwaka hawezi fikia huo uzito na akijatihidi sana ni kilo 4 ila wengi huchezea kilo 3.5 hivyo kusema miezi 3 wanakuwa na kilo 3-5 ni kutudanganya Malawi ni breed ya kawaida sana na haiwezi fikia hapo
Na watu wajaribu kuwa wakweli kwenye maswala ya crossbreeding,hii shughuri imeharibu breeds nyingi sana na matokeo yake ni kupata vitu visivyo julikana
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics,
wanauzwa wa kuanzia wiki mbili mpaka mwezi na nusu,
kwa wateja wa Singida,Dodoma,Tabora,Shinyanga,Morogoro,Manyara,Dar es Salaam na Arusha watasafirishiwa,
kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia 0784308970
Wa umri gani unahitaji?
Ntafutie wateja wamalizie mzigo tutakula mpaka ng'ombe sio bata tu..
hao wanakua ni kuku wa nyama au mayai?Nakusubiria,