ze big JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 382 Reaction score 350 Jul 3, 2016 #1 Habarini wana jamvi. Nimekua nikivutiwa sana na gari hii nissan dualis ningependa kupata uzoefu kwa wataalam kuhusu uwezo wake na ubora kwa ujumla. Na kwa mwenye nayo anaionaje kwenye nyanja ya comfortability.
Habarini wana jamvi. Nimekua nikivutiwa sana na gari hii nissan dualis ningependa kupata uzoefu kwa wataalam kuhusu uwezo wake na ubora kwa ujumla. Na kwa mwenye nayo anaionaje kwenye nyanja ya comfortability.