The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Habari zenu?
Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni.
Sasa nimeshauriwa kutumia Kleenex White, kwa ajili ya ngozi yangu kuwa ni mafuta ya mtu mwenye ngozi ya mafuta mengi na hayachubui. Lengo langu si kujichujua bali kuwa na ngozi nzuri na kuondoa mabaka yote usoni.
Tatizo hilo jina linanitisha. Msaada wadau kwa anayeyafahamu vema ili nianze kuyatumia kwa amani kama hayatakuwa yanachubua.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app