The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Inaumiza macho hiyo, macho yanakuwa kama yanapulizwa na upepo hivi yaani.
Kwanza kabisa mkuu umefanya makosa makubwa kupaka cocoa wakati ww una ngozi ya mafuta.Habari zenu?
Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni.
Sasa nimeshauriwa kutumia Kleenex White, kwa ajili ya ngozi yangu kuwa ni mafuta ya mtu mwenye ngozi ya mafuta mengi na hayachubui. Lengo langu si kujichujua bali kuwa na ngozi nzuri na kuondoa mabaka yote usoni.
Tatizo hilo jina linanitisha. Msaada wadau kwa anayeyafahamu vema ili nianze kuyatumia kwa amani kama hayatakuwa yanachubua.
Ahsanteni.
View attachment 1428719View attachment 1428720
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa mkuu umefanya makosa makubwa kupaka cocoa wakati ww una ngozi ya mafuta.
Hizi vipodozi unapaka lazima ujue ni aina gani ya vipodozi unatakiwa kupaka.
Mfano ww apo mwenye ngozi kavu( dry skin) unatakiwa upake vipodozi vya kukausha ngozi sio vinavononesha ngozi yako.
Mimi ntakuelekeza njia ya asili ya kutunza uso wako wa mafuta na kuondoa mabaka bila kutumia pesa nyingi kwene vipodozi.
Tiba yenyewe ni LIMAO, ASALI NA PARACHICHI.
Ila ili kuanza tiba yenyewe tutaanza na limao kwanza.
. Nununu limao( SIO NDIMU) likate then likamue kwenye chombo then lipake kwa uso kutumia pamba laini mara mbili kwa siku. Iw.asubuhi na jioni tuuu then baada ya masaa 3 unaosha uso wako na usipake kitu kingine chochote.. Mabaka yatakukimbia mbio za mwenge..
Kwa maelezo mengi nitakuja kutoa muendelezo au Ni PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kikishaandikwa xxx white mara nyingi kitakubadilisha rangi.....utang'aa kidogo ila sidhani kama utakua kama mzunguHabari zenu?
Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni.
Sasa nimeshauriwa kutumia Kleenex White, kwa ajili ya ngozi yangu kuwa ni mafuta ya mtu mwenye ngozi ya mafuta mengi na hayachubui. Lengo langu si kujichujua bali kuwa na ngozi nzuri na kuondoa mabaka yote usoni.
Tatizo hilo jina linanitisha. Msaada wadau kwa anayeyafahamu vema ili nianze kuyatumia kwa amani kama hayatakuwa yanachubua.
Ahsanteni.
View attachment 1428719View attachment 1428720
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoa Maelezo mazuri ukikaribia kumaliza unamuita mtu pm nini maana yake? Kwani ukimaliza hapa hapa unapungukiwa na nini? Au biashara ndugu?Kwanza kabisa mkuu umefanya makosa makubwa kupaka cocoa wakati ww una ngozi ya mafuta.
Hizi vipodozi unapaka lazima ujue ni aina gani ya vipodozi unatakiwa kupaka.
Mfano ww apo mwenye ngozi kavu( dry skin) unatakiwa upake vipodozi vya kukausha ngozi sio vinavononesha ngozi yako.
Mimi ntakuelekeza njia ya asili ya kutunza uso wako wa mafuta na kuondoa mabaka bila kutumia pesa nyingi kwene vipodozi.
Tiba yenyewe ni LIMAO, ASALI NA PARACHICHI.
Ila ili kuanza tiba yenyewe tutaanza na limao kwanza.
. Nununu limao( SIO NDIMU) likate then likamue kwenye chombo then lipake kwa uso kutumia pamba laini mara mbili kwa siku. Iw.asubuhi na jioni tuuu then baada ya masaa 3 unaosha uso wako na usipake kitu kingine chochote.. Mabaka yatakukimbia mbio za mwenge..
Kwa maelezo mengi nitakuja kutoa muendelezo au Ni PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hiliKwanza kabisa mkuu umefanya makosa makubwa kupaka cocoa wakati ww una ngozi ya mafuta.