Unatusuaje tupe madini, Kuna wengine tuko kahama na bado hatujatusuaMikoa ambayo kutusua fasta shinyanga ( kahama)
Unatusuaje tupe madini, Kuna wengine tuko kahama na bado hatujatusua
Biashara kama zipi mkuu tupeane madini mimi niko kahama hapaUnakua kwa kwasi yani maendeleo yapo automatic wala sio ya kulazimisha,kuna makabila yote yapo hapa.
Kila aina biashara unaweza kufanya.uje ujionee
Biashara kama zipi mkuu tupeane madini mimi niko kahama hapa